HAFLA YA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA KIBIASHARA YA KUUNGANISHA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO (NICTBB) NA MIUNDOMBINU YA MKONGO WA TAIFA WA UGANDA (NBI)

Oct. 31, 2023, 12:34 p.m.   Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam
HAFLA YA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA KIBIASHARA YA KUUNGANISHA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO (NICTBB) NA MIUNDOMBINU YA MKONGO WA TAIFA WA UGANDA (NBI)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye(Mb) akizungumza katika Hafla ya Utiaji Saini Makubaliano ya Kibiashara ya Kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano (NICTBB) na Miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Uganda (NBI) iliyofanyika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 29, 2023.