Mkutano wa Saba wa Kongamano la TEHAMA (TAIC) 2023
Oct. 31, 2023, 12:34 p.m.
Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Dare es Salaam
Kongamano hili litafanyinyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Oktoba , 2023. Kauli mbiu ya Kongamano hili ni "Tumia teknolojia Ibukizi katika mapinduzi ya kidigitali ili kutengeneza kazi na kuleta mafanikio kiuchumi na kijamii